MISHE-BOY

Newz | Gaga Blue anajitofautisha na wasanii wa Burundi Fleva

Msanii wa muziki wa burundi Fleva, Gaga Blue, jina lake limechomoza kwa kasi katika muziki wa Burundi Fleva, ni msanii anaeibuka kwa kasi zaidi na kuendelea kuiteka hisia ya wapenzi wa muziki wengi nchini kutookana na aina yake ya uimbaji na aswa kutokana na ujumbe mzuri katika tungo zake.

Gaga Blue alianza harakati ya muziki kitambo nchini ila wimbo wake ''Ivo Ivo'' alioutoa nchini Tanzania na kumshirikisha Young dee, aliutambulisha vizuri sana kwenye fani ya muziki akiwa chini ya label You and I.
Kipaji na uwezo wa msanii Gaga Blue sio jambo tena la kuuliza; kwasababu uwezo wake unazidi kudhihirisha ndani na nje, kwani anakuwa msanii pekee kufanya interview nyingi kwenye vituo kubwa kubwa nchini Tanzania.
Tofauti na wasanii wengini nchini, Gaga Blue anazidi kuwadhihirishia warundi kwamba yeye sio wa mchezo mchezo huku nyimbo zake zinazidi kuwakamata vilivyo mashabiki wa muziki ndani na nje.

kwasasa mkali huyu anatarajia kuachia wimbo mpya hivi karibuni kwa nia yakuendelea kuipaisha jina lake katika medani ya muziki  ya kimataifa zaidi.

Sikiliza hapa akifunguka zaidi kuhusu kazi zake:

Hakuna maoni