Newz | Ana kipaji na kazi zake ni nzuri kinachoendelea ni Kwanini?
Msanii wa muziki wa Burundi Fleva, Tofy Gas yuko kwenye harakati kitambo na kazi zake ni nzuri sana pia sio tu msanii mzuri ni mtu poa na anasauti nzuri.
Tofy amejitaidi kuwafumbua macho wasanii kuhusu umuhimu wakufanya collabo nje ya nchi na ku shot video nje japo kuwa kuna baadhi ya wasanii wengi nchini walijaribu tofauti naye.
unaweza sema ni msanii yuko siriaz kwa kuinvest katika video ya kimataifa.
Sasa swali kubwa inakuja miongoni mwa wadau wa muziki nakushindwa kuelewa kwanini hayuko Succesfull japo anajituma sana na kufanya nyimbo nzuri.
wadau wanatamani kumsikia kwenye mambo makubwa mabuwa kama bwana mkubwa Big Fizzo na Sat B ili tuwe na wawakilishi wengi nje.
Mi nafikiri kama ville wapenzi wa muziki wa Burundi fleva hatumpi sapoti ya kutosha kuanzia Media hadi mashabiki kwa mfano huu wimbo wake alioutoa ''Natamani ft Fablove'', ''Stay Strong'' ni mzuri ila sioni ukizungumziwa kihivo.
Ebu tazama kazi yake hii alioutoa na TID wa Bongo Fleva :
Post a Comment