MISHE-BOY

Newz | Baada ya BANTU BOY RECORD nyingine Studio kufunguliwa

Orodha ya wasanii wanao miliki studio za kurikodi muziki nchini zinazidi kuongezeka na uku baadhi ya wa meneja wa wasanii hawo kuanza mradi wa kuwafungulia wasanii wao studio.
Meneja wa msanii wa muziki Prince-B Expert, Desire Habonimana amesema anatarajia kufungua studio na label ili kusaidia wasanii wachanga.
Desire Habonimana mwenye makazi yake nchini Uholanzi ameiambia Hot Mishe Mishe kuwa muda umefika wa kumiliki studio na record label nchini itakayo pewa jina la EXPERT RECORD na bila shaka studio hii itaanza kazi yake mwishoni mwa mwezi January pande za Carama.

Hakuna maoni