MISHE-BOY

Burundi : Primus League B klabu mbili zimetambulika kupanda daraja la kwanza

Katika wiki yake ya 14 ya Ligi kuu Primus League imechezwa jana na tayari klabu mbili zimepanda daraja ni pamoja na Les Lieres FC ya Bujumbura pamoja na Musongati FC ya Mkoani Gitega klabu ya Babe Ngoy mchezaji wa zamani wa Royal FC na Atletico na Ndikumana Kudra almaarufu Adudu mchezaji wazamani wa Flamengo na Prince Louis, imepanda daraja la kwanza.
Rusizi FC ya Mkoani Chibitoke na Flamengo ya Bujumbura watacheza mechi mbili ya awali na marudio, mshindi kati ya klabu izi mbili zitashirikiana na Les Lieres na Musongati daraja la kwanza.
Rugofarm na Prince Louis zimeshuka daraja na zitacheza msimu ujao katika daraja la tatu.

Hakuna maoni