MISHE-BOY

tizama ma kocha wanaolipwa pesa nyingi duniani

kocha anaye lipwa pesa nyingi zaidi ya wengini ni Pep Guardiola Kocha wa Bayern Munich ambaye anapokezwa € 17,000,000 jumla kwa mwaka. wa pili duniani ni jamaa wake wa zamani Jose Mourinho, ambayo ni kocha wa chelsea na analipwa  € 10,030,000 kwa mwaka.
    
  1. Pep Guardiola (Bayern de Múnich)- 17 millions

 2. José Mourinho (Chelsea) - 10,03 millions


3. Marcello Lippi (Guangzhou) - 10 millions


4. Arsene Wenger (Arsenal) - 8,2 millions

5. Fabio Capello (Selección de Rusia) 7,8millions

6 . Carlo Ancelotti (Real Madrid) 7,5 millions

7. David Moyes (M. United) 5,9 millions

8. Gerardo Martino (Barcelona) 5,4 millions

9. Jürgen Klopp (Burssia Dortmund) 4,3 millions

10.Manuel Pellegrini (Manchester City) 4,1



tuwafahamishe kuwa Laurent Blanc, kocha wa Paris Saint Germain anapokea 35.000 euro  na ayumo mu top 10 ya wakocha wanao pokea pesa nyingi duniani ku mwezi

Hakuna maoni