vital'o fc wamealikwa tanzania
nchi ya Tanzania imealika klabu ya hapa Burundi Vital'o Fc ili kucheza match ya urafiki.
tuwafahamishe kuwa ni kwa sherehe ya kumukumbuka aliye kuwa Raisi wa kwanza wa Tanzania, muheshimiwa bwana ayati Julius Nyerere.
ni mwana siasa na raia wa Tanzania, amekuwa waziri mkuu mwaka wa 1960 mpaka 1961.
akisha akateuliwa raisi wa kwanza wa Tanzania tarehe 29, octobra, 1964 mpaka tarehe 5, novemba, 1985.
na ameaga dunia tarehe 14, octoba, 1999.
tuwafahamishe kuwa timu ya taifa ya vijana wanaochezea ligii ya nyumbani ya hapa Burundi, wataanza mazowezi tarehe 15/10/2013 kwenye uwanja wa taifa ili kujitayahishia vema kinyanganyiro ya Cecafa itakao jiri Kenya na pia Chan 2014 nchini Afrika ya Kusini.

baada ya kufanya vizuri katika kinyanganyiro ya CECAFA, na kuibuka wa bingwa wa cecafa 2013 kwa mara ya kwanza. ila katika ligi kuu ya nyubani wamefanya vibaya musim hu.
na ikapelekea sifa izo kuwafanya wa chezaji wengi wa klabu hio(vital'o fc) kuuzikana inje (Tanzania, Rwanda,...)
watasafiri hapo ijumaa kuelekea Tanzania Mwanza na watacheza mechi tarehe 15 mwezi huu na mwaka hu.

Post a Comment