MISHE-BOY

habari za michezo mbalimbali

sababu ya Pogba kuihama Man United

ni mchezaji wa kiungo wakimataifa ya ufaransa amebaini katika show telefoot sababu ilio sababisha kuondoka Man United na kujiunga na Juventus ya Italia mu 2012.
tuwafaamishe kuwa Pogba anazidi kufanya vizuri katika ligi kuu ya Italia pia katika timu ya taifa ya vijana(junior) na wakubwa (senior), mu miaka 20 anayo ametawaziwa mchezaji bora wa kiungo kijana anaye icheza ligi kuu ya Italia. hapa akizungumuzia sababu ila akuja mtu ila kwa maneno yake nikama anamtaja kocha wake wa zamani Sir Ferguson.
"nimeamua kujiunga na Juve ili ninyamazishe maneno ya watu wamewahi kunizungumzia kuwa sitoweza bali nitashindwa na kuanguka kabisa"
 amezidi nakusema: " ilikua decemba 31, 2011, dhidi ya Blackburn, nilikua kwenye benchi. yeye (Ferguson)akamuweka Rafael  katika kikungo na Ji Sung Park  pale, kwa kweli nimejisikia vibaya sana"
"nilimuambia niweke uwanjani nikuoneshe kama niko tayari au la"
tufaham kuwa ameichezea Man United mechi 7 na kundi A.

sababu ya David Beckham kujiunga na Real Madrid

kocha wake wa zamani Sir Ferguson alipo ulizwa kwanini amekubali kumpana Beckham katika tim ya Real madrid, amejibu kuwa : sina majuto baada ya kuuzwa Beckham na Real madrid mwaka wa 2003. na amekuwa amekwisha poteza adabu na akawa asikilizwi baada tu ya kuowa mwanadada pia mwimbaji maharufu sana  mke wake Victoria.

ila alipo ulizwa Beckham mwenyewe amejibu kuwa: kuna mechi moja tumepigwa basi akatukaripia sana na nilipo jaribu kumutuliza basi akanitupia kiato usoni na nikajeruliwa usoni. basi mke wangu alipo ona ayo akaniambia kama kweli nampenda na ninamsikia lazma ni ame Man United, basi kweli mtu wa kwanza maishani mwangu namsikia sana mke wangu na sikukua na budi yakuitika hofa ya Real Madrid.

Iker Casillas kuelekea Milan Ac

goli kipa wa Real Madrid tena wa timu ya taifa ya Espania ivi karibuni amekwisha kuwa goli kipa wa 2 katika timu yake ya utotoni baada ya Diego Lopez kuonekana mwenye mahiri sana kumuzidi. mazungumzo imeanza kati ya Milan ac na Real Madrid katika usajili wa dirisha ndogo mwezi wa kwanza 2014.
Adriano raisi wa Milan Ac ameonesha bahana yake ya kumsajili Iker casillas wakati anabaki kupewa mechi za ligi ya mabingwa tu na mwenzie Lopez anacheza mechi zote.
 
baada ya Christiano na Casillas ni Benzema na Pepe

baada ya kpoteza mechi dhidi ya Atletico Madrid (1-0) mlinzi wa Real Madrid Pepe amemuvamia mwenziye mshambuliaji kitegemeo kwa sasa Karim Benzema na kumuambia kuwa ajitumi akiwa uwanjani. Ramos akiwa capitain wa timu iyo amewaziwia ili wasifikii kupigana na kuwaambia kuwa akuna anaye kuwa zaidi ya mwenziye bali tu Christiano Ronaldo ndiye sio mtu wakukaripia katika  hio klabu.

Hakuna maoni