kombe la dunia timu zilizo fuzu
ni hapo jana tarehe 15/10 mwaka huu, ndipo zilifanyika mechi nyingi zamwisho kwa kubahanisha timu zitakazo fuzu kombe ya dunia nchini Brazilia, barani Afrika mambo bado kwajili wanabakiza mechi ya marudio, na timu za Afrika ambazo zimekuwa na imani ya kwenda ni Ghana baada ya kupata ushindi wa bao 6-1 dhidi ya Egypte nchini Ghana na pia Ivory Cost ipo na bahati kwa ushindi wao wa 3-1 dhidi ya Senegal bila kusahau Nigeria iliopata ushindi ugenini dhidi ya Ethipia kwa mabao 1-2, upande wa Cameroun imekwenda sare ya bila kufungana dhidi ya Tunisia, ila katika mpira kila titu kinawezekana kwa mechi ya marudio ni hapo mwezi ujao.
kwa sasa timu 21 ndizo zimekwisha pata tiketi ya kombe ya dunia 2014 nchini Brazilia.
kwa sasa timu 21 ndizo zimekwisha pata tiketi ya kombe ya dunia 2014 nchini Brazilia.
- Allemagne
- Angleterre
- Argentine
- Australie
- Belgique
- Bosnie-Herzégovine
- Brésil
- Chili
- Colombie
- Costa Rica
- Equateur
- Espagne
- Honduras
- Iran
- Italie
- Japon
- Pays-Bas
- République de Corée
- Russie
- Suisse
- USA
- na timu zinazo ngoja kura barani ulaya ni hapo tarehe 21 octoba kwajili ya mechi ya mtowano yaani barrage kwa timu 8 zilizo pata nafasi ya 2 kwa makundi 8( les 2èm meilleurs perdants):
- Croitie
- Suede
- Roumanie
- Islande
- Portugal
- Grece
- Ukraine
- France
Post a Comment