MISHE-BOY

Christian Atsu amejiunga na Chelsea

Menager wa mchezaji huyo wa kiungo cha kati kwenye timu ya Ghana, palikua na wasiwasi wakutaka kujua mahali atakapo sajiliwa.
ni Mchezaji mwenye umri wa miaka 21, anaweza kucheza kama mshambuliaji.
Atsu amesemewa sana na watu sana nchini Ghana wakatiamehamua kurudi nyumbani.
Atsu amerejea Ghana akijiandaa kwa mchuano wa kufuzu kushiriki kombe la dunia dhidi ya Zambia mjini Kumasi.
Kuna hisia kali miongoni mwa wachezaji na mashabiki pamoja na wadadisi wa soka kuwa mktaba huo aita mufanya Atsu kucheza na kuonekana.
Hata hivyo Atsu amesema amefurahishwa sana na hatua ambayo Chelsea imeichukua akisema kuwa: kama mchezaji ni muhimu kucheza ili kusalia katika hali nzuri.
Amesema atajitahidi kufanikisha mpango huu ili aweze kuwekwa na kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho kwenye mipango yake ya siku za baadaye .
 "wakati Chelsea iliponichukua , niliona nafasi nzuri kufanya kazi na klabu kubwa na kocha mzuri. ''
"najua lazima nionyeshe mchezo wangu nikichezea Vitesse mwanzo na nitafanya vivo hivyo.''
Alisema kuwa kuwepo kwa Michael Essien Chelsea , ndiko kulichochea uamuzi wake kwenda Stamford Bridge.

Hakuna maoni