MISHE-BOY

Show fake ya Ali Kiba

kwa mahoni ya mashabiki na wasanii walio udhuria show yenyewen wametufahamisha kuwa imekuwa show mbovu mbovu kabisa. tatizo nini asa? kwa maoni ya msanii Sat-B:
Sat-B

iyo ni tatizo ya kuto kujiamini sisi pekee yetu kwani tunaweza,sasa wa sanii wa inje wa kazi gani? izo pesa wangepatie msanii wa nyumbani waone kama atofanya vizuri zaidi ya wa inje.
R-flow naye amezungumza kuwa promotion imekuwa mbovo yaani auwezi kuipimanisha na ya Daimond ata kidogo, hi show ya Alikiba utaweza kuesabu watu walio ingia. mpangilio umekwa mdogo bora wange sogeza tarehe mbele kidogo.
washabiki wameomba pesa zao zirudishwe kwani watu awakuadhibika kama kawaida na ingekuwa afazali kihingilio kingepunguzwa kwenye pesa 500 ili watu wawe wengi kidogo. ifahamike kuwa show ilikua inapangiliwa kuanza saa tisa ila imefika saa mbili awajamuona Ali kiba. ni wito kwa wanao andaa ma show hapa inchini akikisheni munaheshimu mda.


Hakuna maoni