MISHE-BOY

Messi ni zaidi ya wote

kila mtu ameojiwa baada ya kombe ya shirikisho kumalizika, Maradcona kwa upande wake amesema kuwa Lionel Messi ni mchezaji bora zaidi ya Neymar na Christiano Ronaldo, kwa sababu magazeti mengi wamehanza kutangaza kuwa Neymar anakuja kumuzimisha Messi, na tukumbuke kuwa Neymar yeye pekee yake ametangaza kuwa amekuja kumusaidia Messi kuwa bora zaidi, na alipo ulizwa kuhusu kombe la dunia, amejibu bila tatizo kuwa Argentin nndio timu pekee itakayo chukuwa kombe ya dunia.basi sio mbali ni huu mwezi tutashudiya la liga ili tuone ma star wa 3 katika ligi moja.nani mkali ?

Hakuna maoni