MISHE-BOY

matokeo ya mechi ya chan 2014


Sudan 3-4 Burundi, ila ni kwa njia ya mikwaju ya penalti ndio Burundi imeibuka mshindi baada ya kutoka sare ya 1-1. na itakua mara yake ya kwanza kucheza kombe hio ya Chan itakayo chezeka nchini Sauza Afrika.
Congo 1-0 RD Congo: wa kongomani wa brazaville wamefuzu fainal ya Chan 2014 dhidi ya wa jirani wao wa DR Congo.na wa kongomani wa kinshasa awajatolewa ila watacheza mechi ya barrage dhidi ya mshindi kati ya Cameroun na Gabon. ifahamike kuwa mechi kati ya Cameroun na Gabon imechezwa leo kwa bao moja ya Cameroun kwa mukwaju wa penalti (Cameroun 1-0 Gabon) ila ni mechi ya awali, marudio imepangwa tarehe 11 mwezi wa nane.

- Botswana 1-1 Zambie

- Burkina Faso 6-5 Niger(penalty) , Burkina faso wamefaulu kukata tiket yao kuelekea Sauza Afrika.

- Ethiopia 6-5 Rwanda (ma penalty), Ethiopia pia imefaulu kupita nakujielekeza Sauza Afrika kwa mara yake ya pili mfululizo.

- Ouganda 3-1 Tanzania; Ouganda bila shaka imefuzu Chan Orange 2014.

- Guinea 1-0 Mali, Mali imefuzu kwajili ya mechi yake ya awali imefunga Guinea kwa maboa 3 kwa moja

- Maurice 0-3 Zimbabwe, upande wao ni mechi ya awali bado marudio.

- Mozambique 3-0 Namibia, upande wao ni mechi ya awali na mechi ya marudio inapangwa tarehe 3 mwezi wa nane nchini namibia.

na michuano ya Chan 2014 inapangiliwa kufanyika tarehe 1/1/2014 mpaka tarehe 1 mwezi wa pili mwaka wa 2014.

Hakuna maoni