New Audio | Natacha -Ufise Gute? \ Download Mp3
Msanii wa kike kutoka Burundi, Mrembo natacha la Namba baada ya kuzidi kuweka historia nchini mwake ya kipekee kwasasa amerudi na kichupa kingine kinachopewa jina la UFISE GUTE? chini ya mikono ya Abydad.
Kuwa wa kwanza kusikiliza kazi nzuri kutoka kwa msanii wa Burundi
Kuwa wa kwanza kusikiliza kazi nzuri kutoka kwa msanii wa Burundi
Post a Comment