Sport | Samatta achoki kuifikiria TP Mazembe, ataja sifa kubwa ya Lubumbashi
Baada ya kujiunga na Genk mwaka 2016 akitokea TP Mazembe, Bwana Samatta anazidi kufanya vizuri nchini Ubelgiji.
Lakini Mshambuliaji mwenye umri wa miaka 26 anaendelea kuwa na upweke fulani kila wakati anaifikiria TP Mazembe. " Wakati mwingine nawaza nchi ya Kongo zaidi kuliko nchi yangu ya Tanzania," alifunguka haya Samatta
"DR Congo nilikua vizuri zaidi japo ilikua ni Afrika bila shaka, ni tofauti na Ulaya lakini ilikuwa klabu kubwa (TP Mazembe). Huko Mazembe palikuwa na wachezaji wazuri, lugha tofauti, hata lugha yao ya kiswahili hapo Lubumbashi haikuwa sawa na ile inayozungumzwa Tanzania lakini baada ya muda tulianza kuelewana. Nilikua bado mtoto pindi nilipofika Congo lakini ndio nchi iliyo fanya kuwa mtu, nilijifunza mengi : kuishi pekee yangu, kupika, kumiliki kiasi kikubwa cha pesa. ...", Samatta aliongea maneno haya hakika ni sifa kwa klabu ya Lubumbashi

Post a Comment