MISHE-BOY

Sport | Nizigiyimana Karimu Makenz aondoka Gor Mahia na kujiunga na klabu ya Uganda

Beki wa kulia wa kimataifa wa Burundi akiwa pia Naibu nahodha wa timu ya taifa Intamba Murugamba, Nizigiyimana Karimu maarufu kwa jina la Makenze asaini mkataba wa miaka miwili na Vipers FC ya daraja ya kwanza huko Uganda.

Baada ya kukamilisha mkataba wake ya kuitumikia Gor Mahia ya Kenya na akiwa huru mwezi mzima bila klabu yoyote.
Kwa mjibu wa kituo cha Radio ya Rwanda ilithibitisha uhamisho wa beki huyo mrundi kujiunga na Vipers Fc.

Hakuna maoni