Sport | Baada ya Messi, mchezaji mwingine nyota wa Barca kuikosa classico
Kuna uwezekano wa kumkosa Messi katika kikosi cha timu ya Barcelona dhidi ya Real Madrid, Jumatano katika Kombe la Mfalme, baada ya kuguswa kwenye mguu wake dhidi ya valencia katika Ligi kuu la Liga; Lionel Messi sio yeye pekee.
Nyota mwingine wa timu hiyo, Ousmane Dembelé baada ya kuumia kwenye mguu wake na kurudi kuanza mazoezi siku chache hivi karibuni, Nyota huyo aliwasili kwenye kituo cha mazoezi ya Barca huku mashavu yakivimba, koo ikimuuma pia macho ikiwa nyekundu na homa.
Kwa mtazamo wa karibu Ousmane Dembelé anasumbuliwa na Angina (Engine), kwa mjibu wa AS ilisema kuwa mchezaji huyo alipewa muda wa kurudi nyumbani kupumzika ili aendelee kutumia vidonge.
Kwa hiyo madaktari wa Blaugana hawajathibitisha kitu chochote kuhusu kumkosa Messi au Dembelé katika mchezo huwo dhidi ya Real Madrid.
Post a Comment