Sport | Kombe la Dunia ya timu 48 kufanyika mwaka 2022 kwa mara ya kwanza?
Akiwa huko Marrakesh, kiongozi wa FIFA, Gianni Infotino alieleza niya yake kwa kufanya haraka ili ifanyike Kombe la Dunia ya timu 48 katika Kombe iliyopangwa mwaka 2022 huko Qatar.
Kama ilivyokuwa kawaida Kombe la Dunia ni nchi 32 zinazoshiriki ila kiongozi huyo aliamua kuongeza hadi nchi 48 kwa mara ya kwanza. Kadri ya mazungmzo ilitarajiwa kufanyika mwaka 2026 lakini kiongo wa FIFA, Gianni Infantino amua lazima ifanyike mwaka 2022, aliyazungumza haya Alhamisi huko Marrakesh (Morocco).
Kwa hiyo endapo Kombe la Dunia itakuwa ya timu 48 bila shaka bara ya Afrika itakuwa na wakilishi 9 au 10 kuliko 5.
Qatar waendelea kujifunza chaguo hili na itatoa jibu la uhakika mnamo Machi.
Post a Comment