Sport | Matokeo NA MSIMAMO kamili ya CAN2019 katika wiki yake ya pili
Michezo ya kuwania kufuzu Kombe la Mataifa Afrika Can2019 nchini Cameron, wiki ya pili ya michuano hiyo ilifanyika wiki hii. Hapa ni matokeo na msimamo wa mda wa muzunguuko wa pili, kama kumbusho tu, wawili wa kwanza katika kila kundi watapata fursa ya kufuzu na kushiriki michuano hiyi na kujielekeza nchini Cameroon kwa fainali ya Kombe la Mataifa Afrika, CAN2019.
Cameron itafuzu moja kwa moja kama nchi wenyeji lakini bado inashiriki michezo ya kuwania kufuzu Kombe hiyi. Ikiwa Cameron ikimaliza ya kwanza katika kundi lake, wa 2 ndie atafuzu nafasi yake na kama ikimaliza ya 2, 3 au 4 ni wa kwanza ndiye atathibitisha tiketi yake pamoja naye.
MATOKEO KAMILI YA WIKI YA PILI
KUNDI A:
Madagascar 2-2 Senegal
Guinea ya Equatorial 1-0 Sudan
KUNDI B :
Morocco 3-0 Malawi
Comoros 1-1 Cameroon
KUNDI C:
Gabon 1-1 Burundi
Sudan Kusini 0-3 Mali
KUNDI D:
Gambia 1-1 Algeria
Togo 0-0 Benin
KUNDI E:
Seychelles 0-3 Nigeria
Afrika Kusini 0-0 Libya
KUNDI F:
Kenya 1-0 Ghana
Ethiopia 1-0 Sierra Leone
KUNDI G:
Congo 1-1 Zimbabwe
Liberia 1-1 DR Congo
KUNDI H:
Rwanda 1-2 Ivory Cost
Guinea 1-0 Jamhuri ya Afrika ya Kati
KUNDI I:
Angola 1-0 Botswana
Mauritania 2-0 Burkina Faso
KUNDI J :
Misri 6-0 Niger
Swaziland 0-2 Tunisia
KUNDI K:
Namibia 1-1 Zambia
Msumbiji 2-2 Gine-Bissau
KUNDI L:
Lesotho 1-1 Cape Vert
Post a Comment