News | Natacha amethibitisha kufanya show Tanzania
Siku chache baada ya kuachia wimbo wake mpya unaobeba jina la Mubibona Gute, Natacha ameanza ziara yake ya Media Tour nchini Uganda na kufanya vipindi katika TV kubwa nchini hapo kama UBC TV Ouganda na NBS TV.
Kwasasa mrembo huyo alipokelewa vizuri nchini Tanzania kama jinsi wananchi wa Burundi wanavyokea wageni nchini mwao. Hii ni good news kwako shabiki wa muziki wa Bujafleva kutoka kwa star wa Duga aliyomshirikisha msanii nguli wa DR Congo, Fally Ipupa, Natacha amethibitisha licha ya Media Tour yake Africa anapangilia kufanya show nchi Tanzania.
Star huyo kutoka Burundi atafanya show yake ya kwanza nchini Tanzania licha yakutokutaja tarehe na ukumbi.
Natacha ameconfirm kufanya show nchini hapo katika maojiano na waandishi wa habari wa Tanzania huku watanzania wakijitokeza kwa wingi kumpokea siku hiyo.
Ebu msikilize hapa :

Post a Comment