Sport | Nassor Niyonkuru ajiunga rasmi na Stand United ya Tanzania
Beki wa kulia mahiri wa Musongati na wa timu ya taifa Intamba Murugamba, Nassor Niyonkuru hatua Tanzania kujiunga na klabu yake mpya ya Stand United inayoshiriki ligi kuu nchini Tanzania.
Nassor ni miongoni mwa beki bora wa kulia kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuusoma mchezo pia ni mchezaji mwenyeu tulivu mkubwa, ball control, kasi (mbio) na kufunga bila kusahau matumizi makubwa ya akili licha ya kutobarikiwa nguvu ya ajabu lakini sio rahisi kumpita.
Baada ya kutafutwa na klabu nyingi nchini Burundi, Stand United ya Tanzania ilionesha niya bila kuchelewa klabu hiyo ilikamilisha uhamisho wa mchezaji mrundi kwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja.
Tuwakumbushe kwamba Nassor aliwahi kuichezea Vital'o Fc kabla ya kujiunga na Musongati ya mkoani Gitega.
Post a Comment