MISHE-BOY

Sport | Orodha ya wachezaji 18 wa Burundi U-20 waliochaguliwa kucheza na Zambia

Kocha wa timu ya taifa Intamba Murugamba U-20, Joslin Bipfubusa ametaja kikosi cha wachezaji 18 cha timu hiyo kitakachosafiri Julai 11,2018 kuelekea Zambia kwaajili ya mchezo wa awali wa kuwania kufuzu Kombe la CAN U-20 nchini Niger 2019.

Katika orodha hiyi hakuna mabadiliko makubwa sana na ile ya awali, lakini kiungo wa kati wa timu ya Telecom Djibouti ya Djiboutie, Ntirwaza Sudi na Brandon Tayor Chebby wa Uingereza wapatikana kwenye kikosi hiki.

Hiyi ndio Orodha ya wachezaji 18 :

1. RUKUNDO Onésime
2. NDUWIMANA Haile Shalom
3. SELEMAN Moustafa
4. MURYANGO Moussa
5. NDORIYOBIJA Eric
6. HAKIZIMANA Héritier
7. BIGIRIMANA Ramadhan
8. NDAYE Chancel
9. MBIRIZI Eric
10. MURYANGO Mabano Shabani
11. NSHIMIRIMANA Jospin
12. NTIRWAZA Sudi
13. DJUMA Muhamedi
14. KANAKIMANA Bienvenue
15. RAMADHAN Pascal
16. SHAKA Bienvenu
17. BRANDON Taylor Anscombe Chebby
18. MAVUGO Cédric

Hakuna maoni