Sport | Yaya Touré ataja wachezaji bora kumi na moja wa kombe la Dunia
Kiungo wa zamani wa FC Barcelona ameweka wazi pendekezo yake kwa kutaja wachezaji kumi na moja bora kwa Kombe la Dunia, itakayoanza rasmi siku ya alhamisi huko Urusi. Katika timu yake hiyo hakuna wachezaji wa kiafrika, kati ya nchi tano waliohitimu kwajili ya mashindano hayo.
Kumi na moja bora ya Yaya Touré kwa Kombe la Dunia nchini Urusi:
David De Gea - Kyle Walker, Raphael Varane, Sergio Ramos, Benjamin Mendy - Luka Midric, Casemiro - Lionel Messi, Sergio Aguero, Kylian Mbappé, Cristiano Ronaldo.
Post a Comment