MISHE-BOY

Sport | As Monaco imefanikisha kupata saini ya Mkongomani

AS Monaco jamanne hii imepata saini ya mchezaji mwenye asili ya Kongo wa Anderlecht akiwa na umri wa miaka 16, Eliot Matazo akaejiunga na chuo cha uongozi mwezi Septemba.

Alizaliwa huko Brussels mwaka wa 2002 kwa wazazi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa ubora wake na uwezo mkubwa cha kucheza, As Monaco iliharakisha saini ya kijana huyo.

Hakuna maoni