MISHE-BOY

Sport | Mo Salah ataja wachezaji anaopenda wa timu ya Hispania

Mshambuliaji wa Misri, Mohamed Salah ameleta mshangao hivi karibuni mwanzo wa Kombe la Dunia katika mahojiano na waandishi wa habari wa Marca.

Mo Salah alitaja jina ya wachezaji aliyependa wa Hispania pale alipoulizwa swali na muandishi wa habari wa Marca alimuomba mchezaji ambaye alipenda katika kikosi cha Hispania

"nilicheza na Azpilcueta na Diego Costa huko Chelsea na kwasasa Alberto Moreno huko Liverpool". Alisema Mo Salah.

Hakuna maoni