MISHE-BOY

Sport | Wilshere anaondoka rasmi Arsenal


Baada ya miaka kumi na saba (17) akiihudumia klabu ya Arsenal, kiungo wa kimataifa wa Uingereza Jack Wilshere (26) anaondoka rasmiArsenal, klabu yake ya utotoni.

Akiwa mwishoni na mkataba na The Gunners, Wilshere ametangaza kwenye akaunti yake ya Twetter na klabu ya Arsenal inayosimamiwa kwasasa na Unai Emery, imethibitisha Jumanne usiku kuondoka kwake rasmi.

 Wilshere alichukua mda mfupi kwa kuipongeza Arsenal kuputia akaunti yake ya twitter na kuandika :


Thank you for everything,@JackWilshere – and all the best for the future#GoodLuckJackhttps://t.co/yVH6dvF93n

— Arsenal FC (@Arsenal) 19 juin 2018.


 Asante kwa kila kitu, @ JackWilshere - na bora zaidi kwa siku zijazo # GoodLuckJackhttps: //t.co/yVH6dvF93n

- Arsenal FC (@Arsenal) 19 Juni 2018.

Hakuna maoni