MISHE-BOY

Sport | Nyota wa Delta Star ajiunga rasmi na klabu ya Aigle Noir

Uongozi wa klabu ya  Aigle Noir umemalizana na mchezaji wa Delta Star, Jospin, kwa mjibu wa Kiongozi wa klabu ya Aigle Noir, Mheshimiwa Mzee Reverien Ndikuriyo.

Mchezaji huyo anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa na Aigle Noir akiungana na Thierry na Omary wa Bumamuru FC pamoja na Christian wa Etoile De Mwumba ya Mkoani Ngozi.

Jospin ni miongoni mwa wachezaji wameonekana kushamiri katika kikosi cha Delta Star msimu huu wa 2017-2018 katika Ligi kuu Primus Ligue.

Hakuna maoni