Sport | Mfungaji bora wa Primus Ligue awekwa sokoni na klabu yake
Katika orodha hiyo mshambuliaji hatari wa timu hiyo, Shaka Bienvenu apatikana katika listi ya wachezaji ambao wamewekwa sokoni na Klabu hiyo.
Kwasasa Aigle Noir imekuja adharani na kukaribisha hofu ya klabu yoyote itakayo onesha ishara ya kumsajili mshambuliaji huyo.
Hii hapa orodha ya wachezaji wa Aigle Noir waliowekwa sokoni na kiongozi wa Timu
Post a Comment