MISHE-BOY

Sport | Moroko inashindwa kwa kuandaa kombe la Dunia kwa mara ya tano

Leo hii Shirika la mpira wa miguu duniani FIFA imetangaza nchi zitakazo andaa mashindano ya Kombe la Dunia 2026.

Kwa kura 67%, United States-Canada-Mexico inashinda na itaandaa Kombe La Dunia mwaka wa 2026 ya kwanza kwa timu 48.

Morocco ilishindwa katika mashindano ya kuandaa Kombe la Dunia kwa mara ya tano, 2010, 2006, 1998 na 1994, ambapo mara nyingine leo inapoteza tena dhidi ya Amerika.

Bara la Afrika bado itasubiri sana kwa kuandaa Kombe la pili la Dunia baada ya Afrika Kusini 2010.

Hakuna maoni