News | Lady Jaydee na Peace & Love kutoa Burudani siku ya Eid El Fitri
Mwanamuziki wa kike wa Bongo Fleva, Lady Jaydee aliwasili katika mji mkuu wa Burundi, 10 Juni, 2018 na kufanya mkutano na waandishi wa habari asubuhi ya Juni 13, siku mbili kabla ya tamasha yake ya pili katika nchi ya Burundi.
Katika mkutano na waandishi wa habari alizungumzia kuhusu shirika iliyoandaa tamasha yake nchini hapo, Instant Chic Multiservice na kusema kwamba ataburudisha wananchi wa Burundi sehemu tatu tofauti, tarehe 15 Juni ni Bujumbura, Juni 22 - Juni 23 Ngozi na Gitega.
Tiketi zitauzwa kwa 3000fbu na 10.000fbu(VIP), tukio hili ni mradi wa Instant Chic, shirika jipya ambalo yazindua katika niya ya kukuza sanaa na Utamaduni.
Kwa ajili ya tamasha yake ya kwanza, Instant chic imemchagua Lady Jaydee na kusema kwamba kupitia matamasha haya ya Ngozi na Gitega inataka kukidhi matakwa ya umma ndani ya mikoa ambao walilalamika kuwa matamasha makubwa haifanyiki.
Aidha Lady Jay Dee atakua na kundi ya muziki ya Burundi fleva, Peace & Love katika tamasha hii kubwa na ataonekana katika show 3 nchini Burundi kwa kuwapa burudani wananchi wa Buru
Post a Comment