MISHE-BOY

News | Big Fizzo ni Kiongozi ( President) wa muziki basi Memba na Bangy hawana kazi

Msanii wa muziki wa Burundi Fleva, Mr Champagne siku hizi anaonekana kuwa shabiki wa msanii Big Fizzo kwa sababu kila kukicha anazidi kumsifu nyota wa muziki wa Burundi.

''President wa muziki wa Burundi ni big Fizzo wengine wote ni wachini, ...''  

Hitmaker wa Qu'est ce qu'il y a huyo ameyasema hayo kwenye show  Lycée du Lac baada ya kupafom wimbo wake aliyomshirikisha Big Fizzo, basi kwa kauli hiyi ya Mr Champagne bila shaka msanii huyu anaamini kuwa viongozi wa wili wa muziki ya Burundi Memba Bruno na Cedrick Bangy hawana tena kazi.

Ebu sikiliza Audio hapa chini :

Hakuna maoni