Double Jay asikitika kwa uvujaji wa nyimbo zake, So fine na Nivyo
Mwanamuziki anayefanya vizuri katika muziki wa Burundi Fleva, Double Jay amesikitika sana kuona nyimbo zake mbili kuvuja kabla ya wakati katika vyombo vya habari na kwenye akaunti za youtube za watu binafsi, jambo ambalo linamkera sana na kuamua kuandika kwenye akaunti yake ya facebook maneno ya uruma zaidi.
Akipost kwenye akaunti yake ya facebook, aliandika kuwa ni jambo la kushangaza kuona wimbo unavuja kabla hata yeye hajaamua kuutoa rasmi na kusababisha kuharibu mipango yake ambayo amekuwa amejiwekea.
Tuamini kuwa kuna watu wanavujisha kazi za wengine kwa bahati mbaya na wengine wanafanya makusudi ili kuweza kumkomoa mhusika ila baadhi ya wandaaji wanavujisha kwa makusudi.
Kuna wengine wanavujisha nyimbo ili waonekane nao wapo katika chati wakati wanaaribu kazi ya mhusika ambae alitumia mda mrefu kwa kukamilisha kazi yake.
Haya ndio maneno (kwa kirundi) ya Double Jay aliandika kwenye akaunti yake ya Facebook
Birababaje cane gose kurara amajoro wandika indirimbo uteka umutwe urondera ama melodie meza kugira usohore indirimbo imeze neza aba manager nabo bagahangaika bapanga ingene indirimbo yosohokana inguvu ikaronka promotion nziza hama munyuma ukaza gusanga indirimbo yasohoye abandi bantu utazi ata nikintu nakimwe baterereye kugira ikorwe ukabona bakurungikira ama link wugurura ugasanga nindirimbo yawe utaribwasohore nukuri biraca intege nyene igikorwa👏🤦♂️
Aha ndavuga indirimbo #So_fine hamwe nindirimbo #Mbega_nivyo ft. #Channy_queen nasize nkoze nkiri muri #Ikoh nvayo zitarasohoka none zaraye zisohokeye icarimwe ari zibiri kuma chaîne ya #YouTube yabandi bantu tutazi so benshi mwarazironse ariko mumenye ko zasohotse bitatuvuyeko niyo mpanvu mubona nama cover atabereye ijisho kubavyakiriye nabi mutubabarire ntivyatuvuyeko ababikoze bazomenyekana tu👏👏🇧🇮🇧🇮
Post a Comment