MISHE-BOY

Sport |Orodha ya wachezaji 18 wa Burundi U20 watakao pambana na Ethiopia U20

                       
Kocha mkuu wa timu ya taifa Intamba Murugamba 9 (Burundi U20), Joslin Bipfubusa aliamua kutangaza orodha ya wachezaji 18 watakao wakilisha Burundi katika mechi ya kwanza ya kuwania kufuzu kombe La CAN U-20 dhidi ya Ethiopia.

Hata hivyo kuna baadhi ya wachezaji waliachwa kwa sababu ya miaka ni pamoja na Youssouf Ndayishimiye (Nyange) na Saidi Slim.

Hii ndio orodha ya wachezaji 18 wa Burundi U-20
                            
1. Rukundo Onesime : Messager Ngozi
2. Nduwimana Haile Shalom : Ngozi City
3. Bigirimana Ramadhani : Aigle Noir
4. Selemani Moustapha : Aigle Noir
5. Ndoriyobija Eric : LLB
6. Kashindi Joseph : Vital'o
7. Ndaye Chancel : LLb
8. Ramadhan Pascal : Olympic Star
9. kwizera Eric : Les Lieres
10. Eza Armel : Ngozi City
11.  Djuma Mohamedi ; Musongati
12. ndizeye Eric : Musongati
13. Ulimwengu Jules : LLB
14. Nsengiyumva Rahim : Messager Ngozi
15. Muryango Mabano : Aigle Noir
16. Mbirizi Eric : Buja City
17. Mavugo cedric Titi : Aigle Noir
18. Shaka Bienvenue : Aigle Noir

Kocha Mkuu : Joslin Bipfubusa
Naibu Kocha : Ntakagero Omar
Kocha wa Golikipa : Amidou Hassan
Dokta : Nayabagabo Felix

Hakuna maoni