MISHE-BOY

Sport | Lampard Kurudi Chelsea hivi Karibuni?


Baada ya miaka 13 akiichezea timu ya Chelsea ( Mechi 661, bao 21 na pasi za goli 137), Franck Lampard (miaka39) alistaafu akiwa kwenye timu ya New York City FC uko MLS.

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza  aliweza kutumia miezi 18 iliyopita akiandaa diploma yake ya kufundisha (Ukocha). Kwa mjibu wa The Sun, Chelsea inapenda  mchezaji wao huyo wa zamani aweze kukubaliana na maamzi ya timu ya kuwa miongoni mwa staff ya timu ili baadae apate fursa ya kuchukua nafasi ya kuwa kocha mkuu wa timu.

Kiongozi  wa The Blues, Roman Abramovich  inasemekana aliwasiliana na Franck Lampard na kumpa nafasi ya kuwa msaidizi wa Antonio Conte, endapo Lampard atakubali kuwa msaidizi ili baadae apate nafasi ya kuwa kocha mkuu.

Hakuna maoni