MISHE-BOY

Sport | Evra Kurudi Ligii Kuu Uingereza?

Baada ya timu yake Olympique de Marseille kukomesha mkataba wake  mnamo Novemba 10, Patrice Evra amepata klabu mpya kwa mjibu wa Sky Sport imeeleza kuwa beki wa kushoto  pia nahodha wa zamani wa Manchester United, Evra anapashwa kujiunga na West Ham katika masaa ijayo.

Mchezaji huyu atatembelea ziara ya matibabu kwa vipimo Jumatano hii kwa kukamilisha uhamisho wake na kushirikiana na timu yake mpya West ham ya Uingereza.
Aidha Patrice Evra atakutana na David Moyes ambaye alifanya kazi huko Old Trafford.

Hakuna maoni