MISHE-BOY

Sport | Watangazaji wa michezo (FC Media) kuiva CMB


 Kwa kuanza mwaka 2018 vizuri timu ya watangazaji wa michezo FC Media nchini Burundi wameanda mechi ya amani na furaha kwa wapenzi wa soka nchini dhidi ya Shirika ya Muziki ya Burundi (Cooperative des Musiciens du Burundi) inayongozwa na Mzee Cedric Bangy.

Mechi hiyo ya kusisimua imepengwa jumamosi 13; Januari 2018 saa tatu kamili (9h00) uku kiingilio ikiwa kama bure ya pesa miatano tu pesa za marundi.
Watangazaji maarufu nchini watakuwepo pia wanamuziki maarufu watakuwepo uku mwanamuziki Nimbona jean Pierre maarufu kama Kidumu atakuwepo kwa mara ya kwanza kucheza mechi hiyo.

Hawa ndio watangazji ambao wameitwa kwakuanda mechi hii:

1.Lionel (Loko) Nkurunziza: Izere FM
2.Willy Nzambimana: Amateur R.Culture
3.Amidou Hassan: Burundisport.com

4.Ngabo Hamiss: Buja FM
5.Rajabu Nzohabonayo: indundiSport
6.Prosper: Eagle Sport
7.Adam Baraguma: Nderagakura
8.Isaïe Minani: Nderagakura
9.André (Anderson): Caméraman
10.Therence Manirakiza: Studio Ijambo
11.Omer: CCIB FM
12. #Éric_Douglas_Samir: Mishe Mishe Média
13.Évrard Bisangi: RFM
14.Fridolin Bushituzi: RFM
15.Emery Niyongabo: Humuriza FM
16.Sylvain Nsabumukama: Radio Culture
17.Elias Bukuru: Buja FM
18.Maurice Kabonwa: R. Culture
19.Peniel Ndagijimana: R. Culture
20.Alain Niyomucamanza: R. Culture
21.Moussa Masumbuko: UFM
22.Ismaïl Kwizera (Nahodha): Izere FM
23.Richard(Alonso): Colombe FM
24.Blaise-Pascal Nsabinganji: ColombeFM
25.Théodore Ntunga: RTNB
26.Diègue Nifasha: burundisport.com
27.Amos Ngabirano: Star FM
28.Abedi François Ndondo: PMC
29.Faiz Mugisha: Caméraman
30.Landry Rukundo: Buja FM
31.Kevin Gakiza: Buja FM
32.Gisa Stevo: Buja FM
33.Joseph Bizimana: R. Salama
34.Billy: RemaFM
35.Arcade Majambere: RTV Salama
36.Wilson Kwizera: R. Culture
Kocha : Vivance Ntagasigaye: RemaFM
Naibu Kocha: Alain Muhirwe : Buja FM

Hakuna maoni