Newz | Mtambuwe Niyo kwa undani zaini ni msanii hodari na mwenye kipaji
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Burundi Fleva, Niyonkuru Patrick Rudoviko maarufu kama Niyo, ni kijana bado mdogo alizaliwa Julai 07, 1995, Burundi.
Niyo ameonekana kuupenda muziki sana, sio rahisi msanii kupima uwezo kwa wimbo mmoja, ila kwa huyu msanii kuna kitu anacho kikubwa sana.
Mwaka wa 2015 ameanza kuimba ila alikosa mda kwasababu ya shule, mwaka 2017 ndio alianza rasmi muziki na kufanikisha kurikodi wimbo moja inayobeba jina la Life Suport, kwasasa anamiliki nyimbo nne.
Niyo ana kitu muhimu sana kwenye muziki nacho ni star look na zile star qualities, ana uwezo mkubwa wa kuimba, ana uwezo wa kurap na kufree style pia ana uwezo wa kupiga vyombo vya muziki.
Aidha kwasasa ana plan nyingi kwenye muziki wake na mwaka huu anachukulia muziki kama kazi,
kijana ni hodari kama akijibrand vizuri ataufikisha muziki wake mbali.
Tuwakumbushe kuwa Niyo ni mtoto wa Nyakabiga, Ngagara, jabe na Bwiza ila kwasasa anaendeleza kazi yake ya muziki nchini Canada.
kwasasa anatamba na kibao hii hapa
kwasasa anatamba na kibao hii hapa
Post a Comment