Kwa mwaka wa pili mfululizo, Cristiano Ronaldo anachaguliwa kama mchezaji tajiri ulimwenguni pote
Kwa mwaka wa pili mfululizo, Cristiano Ronaldo jina lake limechaguliwa kama mchezaji wa mpira wa miguu kitaaluma tajiri katika dunia na anadhibiti pesa binafsi inakadiriwa € 210,000,000.
Hakika, Lengo tovuti Alhamisi ilizindua wachezaji 20 ambao wanamapesa mengi sana kuliko wengine ukuwakitizama mshahara wao, mali binafsi na mikataba ya biashara ya wachezaji.
Kwa wale wa wachezaji 3 bora inakamilishwa na Lionel Messi na Neymar wote wa FC Barcelona.
Ukumbuke kuwa Ronaldo anachukuwa na fasi ya kwanza na sababu inajulikana kwa kina kwamba nikutokana mapato Ligi ya Mabingwa, kombe la Dunia na Mpira wa zahabu mwaka 2014, bila kusahau lakini pia kwa sababu ya mikataba yake ya matangazo na Toyota, Herbalife, Samsung au Nike.
Kumbuka, kwa miaka miwili Cristiano Ronaldo anafanikiwa kuwa mchezaji tajiri fasi ambao imekuwa inachukuliwa na David Beckham ambaye amestaafu mwaka 2013.
kwenye orodha iyo ya wachezaji tajiri, mchezaji wa Afrika Samuel Eto'o (Sampdoria) anachukuwa nafasi ya 7 na pia ndiye mchezaji tajiri wa kwanza barani Afrika uku Yaya Toure (Manchester City) akichukua na fasi ya 2 barani Afrika ila ni wa 15 ulimwenguni akimzidi ata mme wa Shakira ambaye ni Gerard Pique (FC Barcelona), pia na wachezaji kama Franck Ribery (Bayern), Sergio Agüero (Manchester City) na John Terry (Chelsea).
kwa makini sana ebu soma gisi wanavyo zidiana utajiri:
1. Cristiano Ronaldo (Real Madrid): € 210,000,000
2. Lionel Messi (FC Barcelona): € 200,000,000
3. Neymar (FC Barcelona): € 135,000,000
4. Zlatan Ibrahimovic (PSG): € 105,000,000
5. Wayne Rooney (Manchester United): € 103,000,000
6. Kaka (Orlando City): € 96,000,000
7. Samuel Eto'o (Sampdoria): € 87,000,000
8. Raul (New York Cosmos): € 85,000,000
9. Ronaldinho (Queretaro): € 83,000,000
10. Frank Lampard (Manchester City): € 80,000,000
11. Bastian Schweinsteiger (Bayern): € 75,000,000
12. Rio Ferdinand (QPR): € 72,000,000
13. Gigi Buffon (Juventus): € 68,000,000
14. Steven Gerrard (Liverpool): € 64,000,000
15. Yaya Toure (Manchester City): € 62,000,000
16. Franck Ribery (Bayern): € 61,000,000
17. Francesco Totti (Roma): € 60,000,000
18. Gerard Pique (FC Barcelona): € 58,000,000
19. Sergio Agüero (Manchester City): € 58,000,000
20. John Terry (Chelsea): € 56,000,000

Post a Comment