Intamba Murugamba, wachezaji 18 ambao watawakilisha Burundi kwenye mechi ya marudio dhidi ya RD Congo
Kwa kuhitimisha mechi za kugombania tiketi ya kufudhu kombe la Afrika 2017 kwa wachezaji wasio zidi miaka 23 ambao itadhuru nchini Congo Brazaville. Timu ya taifa Burundi baada ya kupata ushindi ugenini kwenye mechi ya awali uko nchini DR Congo (0-1), leo hii tarehe 08/03/2015 kwenye uwanja wa Mwana Mfalme Prince Louis Rwagasore saa tisa na nusu (15h30).
kwa ushirikiano wa ma kocha 4 wa Intamba Murugamba wameita wachezaji 18 ambao watawakilisha Burundi kwenye mechi ambayo inasubiriwa na watu wengi kutoka pande zote mbili Burundi na Congo Kinshasa.
hawa hapa ndio wachezaji 18 wa Intamba Murugamba U23:
1.MBONIHANKUYE Innocent - LL s4a
2.ARAKAZA Mc Arthur - Vital'o Fc
3. KIZA Fataki - LL s4a
4. HARERIMANA Rashid Leon - LL s4a
5. NIYONKURU Nassor - Athletico olympic
6. HAKIZIMANA Issa - LL s4a
7. HAKIZIMANA Yussuf/ Messager Ngozi
8. MVUYEKURE Emmanuel - Gunners Fc / Botswana
9. NDIKUMANA Yussuf Lule - LL s4a
10. NDUWARUGIRA Christophe - Chibuto / Mozambique
11. NAHIMANA Shassir - Vital'o Fc
12. NSHIMIRIMANA Abassi - Bujumbura City
13. AKIMANA Tresor - Athletico olympic
14. ABDOUL Razzak Fiston - Sofapaka / Kenya
15. MAVUGO Laudit - Vital'o Fc
16. Iddy Saidi Djuma - LL s4a
17. MOUSTAPHA Francis - Muzinga Fc
18. NSHIMIRIMANA David - Vital'o Fc
Post a Comment