MISHE-BOY

hatimaye wachezaji 18 ndio watakao wakilisha Burundi nchini RD Congo

Baada ya wiki mbili timu ya taifa Intamba mu rugamba U23  ikiwa kwenye arakati nzima ya mazowezi ili kujiandaa vyema mechi dhidi ya  Timu ya taifa  RD Congo tarehe 21/02/2015  mjini Kinshasa kwenye uwanja mkubwa ambao unajulikana kwa jina la Tata Raphael.
Wachezaji 18 ndio watakao wakilisha Burundi katika nchi ya RD Congo.
Wachezaji na kamati nzima ambao imewasindikiza imeondoka hapa Burundi saa saba na nusu (1h30).
Listi kamili ni hii hapa:

1.MBONIHANKUYE Innocent  - LL s4a
2.ARAKAZA Mc Arthur - Vital'o Fc
3. KIZA Fataki - LL s4a
4. HARERIMANA Rashid Leon  - LL s4a
5. NIYONKURU Nassor - Athletico olympic
6. HAKIZIMANA Issa - LL s4a
7. NSENGIYUMVA Frederic - Jomo Cosmos / RSA
8. MVUYEKURE Emmanuel - Gunners Fc / Botswana
9. NDIKUMANA Yussuf Lule - LL s4a
10. NDUWARUGIRA Christophe - Chibuto / Mozambique
11. NAHIMANA Shassir - Vital'o Fc
12. NSHIMIRIMANA Abassi - Bujumbura City
13. AKIMANA Tresor - Athletico olympic
14. ABDOUL Razzak Fiston - Sofapaka / Kenya
15. MAVUGO Laudit - Vital'o Fc
16. Iddy Saidi Djuma - LL s4a
17. MOUSTAPHA Francis - Muzinga Fc
18. NSHIMIRIMANA David - Vital'o Fc

kamati nzima ambao imesindikiza wachezaji ni :
 - KAZE Cedric : kocha mkuu
 - NDAYIZEYE Jimmy: kocha msaidizi
- AMIDOU Hassan: kocha wa ma golikipa
- Jean - Paul : daktari
- NTIRANDEKURA Innocent: mtangazaji
- Laurent 
- HAKIZIMANA John: mwakilishi wa FFB     
 

Hakuna maoni