nani mkali wako kati ya hawa hapa?
show hii ya hapo tarehe 16 novemba 2014 kwenye ukumbi wa Alpha Cd Technology, panaandaliwa bonge la show itakao kutanisha wasanii wa wili Fizzo mzee wa Yahaya na Lolilo mzee wa Mgara ambao siku nyingi awajawahi kupiga show wakiwa pamoja na itakua ni siku ambao kila umoja ataonesha ukali wake mbele ya mashabiki wao. inasemeka siku zilizo pita wakali hao wa wili Lolilo na Fizzo wamepigana na mwishowe wakawasikilizisha wakaelewana ila kwenye tuzo kila umoja ataonesha mwenzie namnagani mwingine ni Mgara na mwingine ni yahaya, dah lazima kitaeleweka tarehe 16 novemba.
kwenye ukumbi wa Alpha Cd Technology pembezuni ya soko kuu ijulikanayo kama Kwa Sioni. panaandaliwa bonge la show kubwa ambao itakuja na uvuto na upinzani mkubwa sana ukilinganisha na show zingine za hapa na kule.
Show hio ambao imepewa jina kama WHO IS THE BEST, ambao inapambanisha wasanii wengi ambao wanajiita kama wao ni wakali wa Burundi Fleva. kuna wasanii kama Bidondo ambaye amekua kimya sana kutotowa track ata moja ila amekuwa na show nyingi ambao amekua anaziandaa pembezuni ya jiji ya Bujumbura na kwa sasa yuko free na amesema kama yuko tayari kwa kuwaonesha uwezo kwenye show ya Nani Mkali hapo tarehe 16 novemba 2014.
Jay Fire amekuwa kimya sana ila naye miongoni mwa wakali yupo na anapendelea kuonesha ukali wake tarehe 16 kwenye hio show ya kutafuta nani makali.
kwa upande mwingine msanii Happy Famba ambaye kila show kama kawaida yake ye ni mkali wa show kwa mambo yake mapya mapya inayo wapagawisha watu na uku mashabiki wakitoka wamerizika sana, naye amesema yuko tayari baada ya kufanya bonge la show Ruyigi na kushangiliwa na watu wengi uku akishangaa kuona mashabiki wa uko Ruyigi wakijua kuimba nyimbo zake zote. naye ni miongoni mwa wakali hao ambao watangombania heshima hio.
kuna msani mkali wa R&b gisi anavyo jidayi R-Flow, inasemekana kwamba yeye na mpenzi wake ambae ni msanii pia Chany Queen kuna utata kati ya usiano yao. uku wengi wakifikiri ni kwasababu ya picha ambazo Chany Queen inamuonesha akipeana busu na mpenzi wa mume wa mtoto wake ambaye ni Mzizi wa Jiwe Lolilo uku iyo picha ikileta utata sana kwenye ukurasa wa Facebook na ikidaiwa na mashabiki kwamba sio mila na desturi ya Burundi. Iyo jambo ya Chany Queen kupiga picha akipeana busu na mwenzake wa jinsia moja sio mara ya kwanza inakua mara yake ya 2. tarehe 16 novemba utaamini kama kweli R-Flow atakuja na mpenzi wake ao mpenzi wake atakuja na baba wa mtoto wake ambae ni Lolilo.
msanii wa badada kama gisi wengi wanavyo muita naye pia ni mkali, hapa namzunguzia Black-G Afrikano, naye pia atakuwepo kwenye iyo show ya Nani Mkali, wengi walikua wanataka msanii Sat-B akuwepo kwenye iyo show ila bahati mbaya msanii Sat-B yeye yupo nchini kenya kwa ku shoot nyimbo kazaa na moja ya track ameimba na Mzee Kidumu Kibido imekwisha toka. sasa mambo inakuwa mengi uku wengi wakisema kkwamba Sat-B anamuogopa Black-G kwasababu ndio mpinzani wake kwa mjibu wa mashabiki ila ila Sat-b levo anayo kwasasa anataka apimanishwe na wa simba wawili (lolilo na Fizzo) uku akisema kwamba niko kikazi Kenya na nimara yangu ya kwanza kupanda denge ila sio mara ya mwisho nitazidi kuakilisha bendera ya nchi yangu popote.
mkali wa hip hop naye atukumsahau ni T-max ambaye ivi karibuni ametoa track yake mpya inayo beba jina la Asante Mola, ni hapo tu baada ya kufanya ajali akiwa pamoja na gari lake. kwenye nyimbo yake hio (asante Mola) kuna maneno ambao yanawalenga hao ambao awakumjali wakati wa shida na kumtakia ubaya ila upande mwingine anamshkuru Mungu kwakuwa amemuokowa na akuwa anategemea kama kweli leo hii anaweza tena kuchana. je kuna ambae atamjibu? basi yote hayo tutayaone hapo tarehe 16 novemba yaani lazima kitaeleweka tu.

Post a Comment