classico inchini Djibouti, Nzokira Jeff kapongezwa sana
Nzokira Jeff |
kwa mujibu wa ripota wetu anae mufatilia mchezaji Nzokira Jeff nchini Djibouti, ametufahamisha kuwa hii leo pamekua mechi kali sana na inayo vutia watu wengi wapenzi wa soka nchini Djibouti ni dhidi ya Garde Republicain Fc na A.A.S. Djibouti Telecom ya mchezaji Nzokira Jeff wa hapa nyumbani (goli kipa) wa zamani wa klabu ya Vital'o Fc na mwenzie Andosango Freddy aliye kuwa mchezaji wa zamani wa Lydia Lidic Academic.
Garde Republicain Fc |
A.A.S. Djibouti Telecom |
kila mara wakipambana wapenzi wa soka wa nchini Djibouti huwa wanaipa jina ya Classico.
timu ya A.A.S. Djibouti Telecom ikisherekea ushindi wao wa classico |
Andosango Freddy |
Post a Comment