wachezaji warundi wanazidi kujipatia sifa ugenini
mwaka huu nikama bahati imetuwa katika mpira wa burundi na kwa wachezaji pia, hapo ni bahada ya kujipatia tiketi ya kufudhu kombe la Chan kwa mara ya kwanza itakayo dhuru nchini Afrika ya kusini mwezi wa kwanza mwaka ujao( 2014).
na ikapelekea wachezaji wengi kuuziwa inje kama Tambwe Amissi anaye fanya vizuri Tanzania na kujipatia sifa nyingi na changamoto mbalimbali na akiwa mfungaji bora wa ligii kuu ya Tanzania wakati kuna mechi 3 akucheza kwajili ya maandalizi ya mkataba wake.
na mwenzie kaze Gilbert kwajina maharufu Demunga. Demunga anazidi kuonesha umahiri wake nakuonekana beki nzuri sana zaidi ya gisi yalivyokuwa anacheza hapa nyumbani Burundi.
na wachezaji wengine kama Didier Kavumbangu kwake yye ni kama amekwisha zoweya ligi ya Tanzania na wengine walijielekeza Rwanda kama Cedrick, Lody, Kudra na wengineo
na wachezaji wa 2 walijielekeza Ethiopia na kwa sasa wamekwisha cheza machi moja nakuonesha umahiri wao ni Nzokira Jeff ( goli kipa wazamani wa vital'o) na mwenzie Andosango Freddy (mchezaji wa zamani wa lydia lydic) katika klabu ya Djibouti Telecom
mechi ya kwanza na niya kufungua ligi kuu ya Djibout, wamecheza dhidi ya kalbu ya Tajourah tarehe 11/10 2013 na Djibouti Telecom ikaibuka washindi wa bao 3 kwa zero na mchezaji wazamani wa Lydia Lydic ya hapa nyumbani Burundi Freddy akajifungia Goli yake ya kwanza katika hio Timu ya Djibout Telecom
mechi ya pili inapangiliwa kufanyika hapo tarehe 19 mwezi huu na mwaka hu muma saa moja kamili usiku saa za uko Djibout sawasawa na saa kumi na mbili saa za hapa Burundi

Post a Comment