MISHE-BOY

masanja kwa sasa ni mchungaji wa kikristo














safari hii amehelekea kuwa mchungaji na mhubiri mkubwa wa kikristo nchini Tanzania. 


baadhi ya wengi mumtambuwa kuwa ni mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi, kwajina Mgaya Emmanuel a.k.a Masanja Mkandamizaji na inaonekana kuwa awezi kurudi nyuma.


mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya amemuombea mgonjwa leo hii juma pili kupitia ukurasa wake wa facebook  ameweka picha  inayo onesha akimuombea mgonjwa  na akiwa mbele ya ma elfu za waumini alipokua akihubiri neno la Mungu na uku akimuombea mgonjwa alikuwa ameanguka chini. 

hapa akisema :'' NIMEONA MUNGU WANGU AKIPONYA WAGONJWA NA KUFUNGUA WALIFUNGWA NA MAGONJWA SUGU....
NIMAOMBI YANGU JUMAPILI YA LEO, KILA JAMBO LILILOKUSUMBUA KWA MDA MREFU,IWE NI UGONJWA,SHIDA YA NDOA,KAZ,BIASHARA,MASOMO,LAANA,NK,MUNGU WANGU AKUHURUMIE NA UPOKEE UPONYAJI. tamka maneno haya kwa imani rafiki Yangu .
ASANTE MUNGU KWA KUNIHURUMIA,NIMEPONYWA''.


na kwa hio habari yake mashabiki wake wamekuwa na maoni tafauti kama awa hapa:
 
Johnie Jesus Akayesu: Dunia imefika mwisho.Kutoka comedy hadi kuponya!!!!!.wizi mtupu.

John Magomba : Jamani hata wa-kristo mnakosa imani kiasi hiki,kwa sababu Masanja ni komediani au vipi!.Kama Mungu aliwatumia majambazi na wahalifu kama Sauli(Paulo) atashindwa nini kumtumia mtu kama Masanja?kwanza ni jamaa ambae hajawahi hata kukumbwa na kashfa kama watu wengine.Mungu pekee ndo anajua roho ya Emmanuel(Masanja) hivyo tusimuhukumu tusije tukahukumiwa.PAULO ALIKUWA MHARIFU KUPINDUKIA LAKINI NDO ALIFANYA KAZI KAMA MMISIONARI KULIKO HATA KINA PETRO NA BIBLIA INA VITABU(NYARAKA) ZAKE NYINGI KULIKO 
MITUME WOTE.

Masanja Mkandamizaji MUNGU AKUBARIKI MPAKA USHANGAE JOHN, UNACHOFANYA HAPA NI HUDUMA.

Daudy Osama Amna bada kuku anafanana na bata lakini sio simba kufanana na ngamia, masanja anatudanganya bana.


nawe unasemaje kuhusu habari hii? 
 

 

Hakuna maoni