MISHE-BOY

Chelsea Vs Real Madrid

baada ya mechi mengi  timu izi nane zimekua zinagombania kombe ya Guinness International Champions Cup.
ivi karibu timu ya Real madrid imecheza na Everton klabu ya Uingereza na kuwashinda kwa mabao 2-1 kwa ushindi wa Real Madrid. upande wa Chelsea imechuana na AC Milan klabu ya Italia na ushindi umekua wa Chelsea kwa bao 2-0.
tuwafahamishe kuwa ni Guinness International Champions Cup na final inapangwa tarehe 8 mwezi wa 8 mwaka hu.
itakua final yakuvutia sana kwa upande zote mbili kwasabu kocha Jose Mourinho alie kuwa kocha wa Real Madrid atapata bahati nyingine ya kukutana na timu hio ambayo ameikochi kwa miaka iliyopita.
upande wa kocha wa Real Madrid, Ancelotti amefurahishwa sana na hii final kuwa naye ataweza kukutana na klabu yake ya zamani ambao amewayi kuwa kocha wa chelsea kwa miaka iliopita
08/08/2013  
mourinho: " kama mimi kushiriki na klabu yang ya mpya , nilijua na ilikua uwezekano mkubwa wa kukutana na  Real Madrid kwani sisi wote tumefanya vizuri kwa kufunga mechi zote na kwajili yetu ni jambo nzuri sana ya kucheza dhidi ya timu hii kuwa chezaji kama watu binafsi na itakuwa faraja kubwa sana kucheza dhidi yao".
 



Hakuna maoni