MISHE-BOY

Prince mdogo akawa mfalme

hii imekuwa ni hapo jana tarehe 30/06/2013, final kati ya Brazil vs Span, ushindi umekuwa wa rais sana kwa timu ya Brasilia kuibuka washindi ya 3-0 kwa msemo hapa nyumbani ni tatu bila, goli ya kwanza imengia mwanzoni tu ya mechi kupitia mchezaji Fred na pia ndiye mfungaji bora wa Kombe hio, na imepelekeya kweli kumfanya mchezaji wa Barcelone Neymar kutamba sana nakuonekana kama mwenye ujuzi sana na kupelekea mchezaji wa Espania Piqué pia mchezaji wa timu ya Barcelona kupewa kadi nyekundu alipo mufanyia makosa  Neymar kwenye kipindi cha pili. ifahamike kuwa Neymar mara YAKE YA KWANZA KUPEWA TAJI YA muchezaji bora akiichezeya timu yake ya taifa. tuwafahamishe kuwa ni kombe la  4 Brasilia inachukuwa katika kombe la shirikisho(confederatin)

Hakuna maoni