MISHE-BOY

mpango mpya wa Barça kwa Thiago Silva

timu ya Barcelona ya Espania wametangaza kuwa watafanya kila uwezo wakiakikisha amesajiliwa mu Timu yao, ni mchezaji wa PSG tena mwenye asili ya Brazil. hio nimaombi ya kocha wa Barcelona Tito Vilanova akipeleka maombi yake kwa viongozi wa timu endapo Atamukosa Silva mwaka huu atasajili mchezaji wowote. ifahamike kuwa timu ya Paris-saint germain aitaji hofa yoyote kuhusu mchezaji wao kuondoka, endapo mchezaji atafurahishwa  na timu ya Barcelona basi awatakuwa na nakipingambizi chochote watamuruhusu aondoke ila kwa milioni zaidi ya 40, timu ya barcelona inatamani kuhuzisha wachezaji wao wa 2 ili wapate pesa yakumusajili Thiago Silva. na wachezaji wenyewe ni Thiago Alcantara  akielekeya Ungereza katika timu ya Man United kwa milioni 18€ pia na David Villa akielekeya naye Ungereza katika timu ya Tottenham kwa milioni 15€. ifahamike kuwa kiwango cha usajili wa Thiago Silva ni milioni 32€ ndio timu ya Brcelona inatowa.

Hakuna maoni