Sport | Lionel messi aweka rikodi katika ligi 5 kubwa za ulaya
Baada ya kufunga mabao mawili dhidi ya valencia, Lionel Messi avunja rikodi mpya. Kwasasa la Pulga aweka rikodi ya kipekee tayari ana mabao 21 na pasi 10 katika michezo 20.
Kwa hakika, Nyota wa Argentina na Barcelona amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya ligi kuu 5 za Ulaya kupitisha mabalo 20 kwa misimu 11 mfululizo tangu 2008-2019.
Na kingine pia maajabu Lionel Messi ni mchezaji aliyefunga msimu huu mabao mengi inje ya eneo (extérieur de la surface).
Post a Comment