UEFA : Maajabu ya UEFA katika kikosi cha Timu Bora mwaka 2018
Ijumaa
hii, UEFA ilitangaza kikosi cha timu yake bora ya mwaka 2018 yenye kura 168,543 kwa
watumiaji wa Internet.
Licha
ya mchezaji wa kimataifa wa Misri Mohamed (Salah Liverpool) na Senegal Sadio
Mané (Liverpool) hata beki Kalidou Koulibaly (Naples) kufanya vizuri mwaka 2018
na kuwa kati ya wachezaji waliochaguliwa na Caf Awards ila wakosekana katika
orodha ya kumi na moja bora ya UEFA.
Hakuna
mchezaji wa Afrika aliyeorodheshwa katika kumi na moja hiyo huku Varane na Van
Dijk wapata nafasi na kumtupilia mbali Koulibaly wakati Mbappé, Messi, hazard
na Ronaldo waorodheshwa na kumtupilia mbali Salah mchezaji aliyechukua nafasi ya 6 ya
Ballon d'Or, haya ni maajabu.
Tumu Bora ya UEFA mwaka 2018 : Ter
Stegen - Ramos, Varane, Van Dijk, Marcelo - Kante, Modric - Hazard - Messi,
Mbappé, Ronaldo.
Post a Comment