Sport | Tazama picha za mwanzo wa mchezo kati ya Burundi dhidi ya mali (1-1)
Michezo ya kuwania kufuzu Kombe la Afrika CAN2019 itakayofanyika huko Cameroon imeingia katika wiki yake ya 3 hukukatika kundi C timu ya taifa ya Burundi ililazimika kwenda sare ya bao 1-1 dhidi ya Mali, mchezo uliyofanyika kwenye uwanja mkuu wa Mwana Mfalme Louis Rwagasore Oktoba 16, 2018 saa tisa kamili.
Tazama picha chache za mwanzo wa mchezo huyu hapa :
Tazama picha chache za mwanzo wa mchezo huyu hapa :
Post a Comment