Sport | Ajali kubwa imejitokeza kwenye Kombe la Dunia Urusi 2018
Taarifa mbaya na inaendelea kuweka mashaka kwenye Kombe la Dunia 2018 inayofanyika Urusi, Jumamosi katikati ya mji wa Moscow ajali ilijitokeza kati ya teksi na basi iliyosafirisha mashabiki wa timu mbali mbali kuelekea uwanjani.
Angalau watu saba walijeruhiwa kwa mjibu wa ripoti ya Tass, vyanzo vinasema idadi kubwa lakini hakuna aliyekufa.
Huduma za Traffic Moscow ziliripoti kwamba dereva wa teksi aliyefanya kitendo icho alikamatwa na uchunguzi unaendelea.
Mashabiki wa Mexique watakuwa miongoni mwa waliojeruhiwa.
Post a Comment